Pageviews last month

Thursday, February 26, 2009

A Matter to be TRUE, FACT or REAL

What makes a matter to be TRUE?
What makes a matter to be FACT?
What makes a matter to be REAL?

Wednesday, February 18, 2009

TANZIA

Wapendwa katika Bwana,

Tumepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kuondokewa na Mpendwa Mzee L. J MERERE.
Msiba uliotokea hapo Boston kwa watoto wake akiwa mapumzikoni kwa mauguzi.

SISI TUNATOA POLE ZETU KWA WAFIWA. MUNGU MWENYE UWEZA WA YOTE YEYE AWEZAYE KUMPATIA MTU UHAI NA KISHA KUUCHUKUA TENA AWAPATIE WAFIWA NDUGU, MARAFIKI NA JAMAA WOTE FARAJA YAKE KUU NA YA KWELI ITOKAYO JUU. HEKIMA ZAKE ZIPITAZO MBINGU NA MAARIFA YAZIDIYO MILIMA YA MUNGU IWAHIFADHI NAFSI ZAO/ZENU KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA KUONDOKEWA NA MZEE WETU MR. L J. MERERE KATIKA MAISHA HAYA.TUNATOA POLE NYINGI KWA WAFIWA MUNGU AKAMILISHE MIPANGO YOTE YA SAFARI HATA KUUPUMZISHA MWILI WA BABA YETU HAPO NYUMBANI.

"Tufarijiane kwa maneno haya ya amini:Kama vile Baba alivyo chanzo cha uzima, halikadhalika amemwezesha Mwanae kuwa chanzo cha uzima.Na amempa Mwanae mamlaka ya kuhukumu kwa kuwa yeye ni Mwana wa Adamu. Msishangae kuyasikia haya. Wakati unakuja ambapo wafu wataisikia sauti yake, nao watatoka makaburini; wale waliotenda mema watafufuka na kuwa hai, na wale waliotenda maovu, wata fufuka na kuhukumiwa. Mimi siwezi kufanya jambo lo lote kwa mamlaka yangu mwenyewe. Mimi nahukumu kufuatana na jinsi Mungu anavyoniambia. Na hukumu yangu ni ya haki kwa kuwa sitafuti kufanya nipendavyo, bali nafanya mapenzi yake yeye aliyenipeleka.''

nDimi, anDy