Pageviews last month

Monday, September 22, 2008

Soma Neno la Bwana Leo "Word Of Life Today"

Kipindi cha Kuimba na Kusikia Neno la Faraja

Tumaini langu niende, Parapanda italia parapanda, Anakuja Yesu Amen Haleluya...... Mchg. Dr. J. Ngwamba akitoa Neno la Faraja (1 wathethalonike 4:13-18) Reference

Tunalo tumaini la walilala katika Bwana

Beyonce Anasalisha...Asante Mtoto mzuri Beyonce Ukumbusho wa siku ya Misa
Riona Amechangamka kweli
Mwamba wangu wa kale


Matukio mbalimbali

Tafukuri ndogo ndogo baada ya Neno Ohh!! Julian kafanana na Anko John!!
John Asman akisikiliza jambo
Mr. Godwin Chilewa, Tumainieli Kimaro, Dada Anna
Baba wa Mbinguni hakuna kama wewe, Tunakuabudu


Ohh, Imeisha mapema!!

Ahaaa, Asante saana nashukuru kukufahamuLawrance Muhando na Mchg. Ezekiel Kuselya
Ohh!
"Kama hii" Ahaa kweli zote zafanana!!
Beyonce yuko na Mamaake Asanteni Jamani

Misa Imeenda Vizuri

Ekschuzi me! "What!! is that serious"..... Oh yeah
Anko Nmechiba!! taka mama mimi

Mchg.Ezekiel Kuselya akiombea "HUYATU"

Misa ilishehenishwa na Nyimbo za Kusifu

Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni MwemaDamas akitafakari jambo kisumbuo Mrs. Salome Mlay, Maria Ngowi na Dr. James Salako (Pastor)
Dada Jojis
Mrs. Anna Mrema akisisitiza jambo "third....." na X- Skuli meti wake


Matukio Katika Picha siku ya Misa

Mama Elisha: Asante kwa Ushuhuda mzuri wa Kumngoja BwanaMaria Ngowi na David Mrema Hawamo Pichani, walisoma Historia za Marehemu
Sistaz Smailing'
Pius Mwesiga Dada Salome
Pius akisisitizia Kitu na Ndg. Mlay Nixon

Matukio Katika Picha siku ya Misa

Wa- Mama AsanteniYote Alimaliza Pale Kalvari
Asanteni
Victor Rutachokozibwa alitusaidia kuchukua picha za Mnato "Still Pictures"
Victor Ruta yuko na watoto Isaiah, Suzy na Manka (Habikieli)


Baada ya MisaBrother Alfred akiwashukuru Wanajumuiya
George Chilewa, Christine Mhando na Riona Mwanae, Andy na Christer
Christine Mhando, Riona, David Mrema, Christher Mghamba
Dada Lilian Nkya na Watoto (Asanteni saana)


Misa na matukio mengineo


Brother Alfred,Mrs. Elisha, Bawily, anDy
Jojis, Andy, Anna, Hilda, Godwin Chilewa
Alfred, Mrs. Elisha, Bawily

Baada ya Misa Palikuwa na Kitu Kidogo




anDy, Mchg. Ezekiel Kuselya, Lawrance Muhando, Alfred Njau Alfred, Mama Ngwamba, Aunt Fridah Mariki, Andy
Brother Alfred, Mama Ngwamba, Mchg. Ngwamba, Andy


Ratiba Historia na Matukio Katika Picha siku ya Misa


Ratiba, Historia za Marehemu na Matukio Mbalimbali kwenye Misa

MUONGOZO WA MISA YA MSIBA LEO TAREHE 05 APRIL 2008

UKARIBISHO MUONGOZAJI
NYIMBO {TENZI/ PAMBIO / MWIMBIENI BWANA} MUONGOZAJI/ WOTE
MAOMBI YA UFUNGUZI MCHG. EZEKIEL KUSELYA
UTAMBULISHO : A. WACHUNGAJI
B. WAFIWA
C. WANAJUMUIYA
PAMBIO/ NYIMBO WOTE/ MARIA
HISTORIA FUPI WASOMAJI
WIMBO MWIMBIENI BWANA (NENO LA MUNGU TAKATA. Uk. 310 au 311)
MAHUBIRI MCHG. JERRY NGWAMBA
MAOMBI KWA WANAFAMILIA WALIOFIWA MCHG. JAMES SALAKO
NENO FUPI LA FARAJA KIONGOZI WA FARAGHA (Fellowship)
NENO TOKA KWA WAFIWA NDG. ALFRED K. NJAU
KUSALI KWA AJILI YA HUYATU NA KUAHIRISHA.

----------- TAMATI-----------





HISTORIA FUPI ZA MAREHEMU (LEO IKIWA NI TAREHE 05 APRILI 2008)

Kwanza: Bibi Matemu
Mnamo tarehe 29 Disemba 2007 tulipata taarifa za kusikitisha za kuondokewa na bibi yetu mpendwa Bibi matemu aliyeyaaga maisha haya akiwa huko Marangu Mkoani Kilimanjaro. Waliulaza udongoni mwili wa Bibi Matemu tarehe 2 Januari 2008.
Bibi matemu alizaliwa mwaka 1905. Marehemu bibi ameacha watoto, wajukuu, vitukuu na vining’ina.

Pili: Baba Mkubwa Mwl. Eliamani Ezekiel Njau
Mwl. Eliamani Ezekiel Njau alizaliwa mkoani Kilimanjaro wilaya ya moshi vijiji mwaka 1932, akafariki tarehe 12 Februari 2008, na kuzikwa nyumbani kwake Mamba Mkolowony huko mkoani Kilimajaro.
Marehemu alikuwa akisumbuliwa kwa muda na ugonjwa wa kisukari na saratani.
Katika uhai wake marehemu alikuwa akifundisha katika shule mbalimbali.
Marehemu ameacha Mke, Watoto kumi na mbili12 na Wajukuu.

Shukrani: kwa madaktari na wauguzi wa KCMC na sehemu nyingine walijitahidi kumsaidia marehemu kipidi cha kuugua kwake.

Tatu: Babu Adam Tengia Shongilo Tarimo
Babu Tengia Tarimo alizaliwa mkoani Kilimanjaro Mwaka 1908 na Kufariki Februari 22 2008. Marehemu alizikwa nyumbani kwake Mwika Mawanjeni Mkoani kilimanjaro.
Kwa taarifa za waganga (Madaktri) wanasema marehemu alikuwa akisumbuliwa na “Gangrene” (Local death of body tissue).
Enzi za uai wake marehemu alijishughulisha zaidi na biashara na shughuli za kilimo, ambazo aliendelea nazo mpaka alipokuwa katika hali ya ugonjwa.
Marehemu Mzee Tengia ameacha Mke (Bibi), Watoto tisa 9, Wajukuu na vitukuu.

Shukrani: Shukrani za kipekee tunamshukuru Dk. Minja wa Himo, na Dk. Musoma. Pia wauguzi wa Hospitali ya Aghakan Da-es-saalam na KCMC kwa huduma zote walizotoa ili kuweza kumsaidia merehemu babu katika kipindi cha kuugua kwake.

Nne: Mwl. Rose Edwin Njau. Mrs
Mwl. R.E. Njau ambaye alifahamika pia kwa jina Mama Eli. alizaliwa wilayani Hai mkoani Kilimanjaro mwaka 1946. alikulia huko mpaka alipokwenda kuishi na kufanya kazi mkoani Mbeya baadaye Dar-es-salaam. Mpaka alipoyaaga maisha haya. Mwl. Alikuwa ni Mwl. Mstaafu, ambapo aliwahi kuwa Mwl.Mkuu Shule ya Muhimbili, baadaye alifundisha shule ya Sekondari ya Kisutu. Pia Mwl.Njau alikuwa ni muimbaji wa muda mrefu wa kwaya kuu ya Azania Front K.K.K.T na Pia Kwaya ya Akina Mama. Alikuwa ni mshiriki wa vikundi mbalimbali vya jumuiya.
Madaktari walisema Marehemu Mama Eli alikuwa akisumbiliwa na matatizo ya moyo.
Marehemu ameacha Mme (Baba Mkubwa), Watoto na Wajukuu.

Shukrani: Tunawashukuru Madaktari na wauguzi wa Hosptali ya Kumbukumbu ya Daktari Kairuki ya mikocheni kwa huduma zote walizotoa kipindi cha ugonjwa na jamaa wote walioshiriki kipindi cha mazishi.

Mwisho Kabisa: Tunawashukuru wanajumuiya wote wa hapa Houston kwa ushirikiano wenu. Wachungaji na watumishi wengine wote wa Mungu mlioweza kujumuika nasi hapa.
Aksanteni.